Usafi wa Kibinafsi – Opiq
1 / 4
×
Chapter 1.1 (Kiswahili 7)
Kiswahili Mufti Gredi ya 7 (Longhorn Publishers)
Chapter 1.1

Usafi wa Kibinafsi

Shughuli ya Utangulizi

  1. Tazama michoro hii kwa makini kisha umweleze mwenzako shughuli unazoona.
A
  1. Jadiliana na mwenzako kuhusu umuhimu wa shughuli katika michoro hii.
  2. Mweleze mwenzako jinsi unavyodumisha usafi wako.
Please wait