Authors
Wallah bin WallahExercises kit’s authors
Wallah bin WallahPublisher
-
The study kit contains 50 chapters and 112 exercises of which 63 are in the chapters and 49 in the task exercises.
-
Authors
Wallah bin Wallah -
Exercises kit’s authors
Wallah bin Wallah -
Subject
Kiswahili -
Grade
Grade 2 -
Kit's language
Swahili -
Publisher
Longhorn Publishers -
Included in packages
Longhorn Kiswahili Mufti, Gredi 2 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya pili.
Vilevile, kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi ili kueleweka kwa urahisi na wanafunzi wa gredi ya pili kutoka katika mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika unaafikiana vyema na uwezo wa lugha ya wanafunzi katika kiwango hiki. Kimeshughulikia masuala ibuka kama vile: usalama, maadili, lishe bora, usafiri, utangamano, maarifaya ujasiriamali, elimu endelevu, jinsia, teknolojia na mazingira.
Pia, michoro ya kuvutia imetumiwa ili kumsaidia mwanafunzi kufahamu yaliyomo kwa urahisi na kuweza kuyahusisha maarifa na mazingira yake.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utampa mwalimu maelezo na maelekezo kamili kuhusiana na mbinu mwafaka za kutayarisha, kuendesha na kutathmini uwezo wa utendaji wa wanafunzi na umahiri wao katika somo la Kiswahili.
1. SHULENI
Lead |
Chapter |
---|---|
1.1. |
SHULENI
Free chapter! |
1.2. | Sauti /d/ |
1.3. | Sauti /j/ |
1.4. | Sauti /r/ |
1.5. | Kusikiliza na kuzungumza |
1.6. | Msamiati |
1.7. | Kusikiliza na kuzungumza |
1.8. | Kusoma |
1.9. | Msamiati |
1.10. | Sarufi |
2. HAKI ZANGU
Lead |
Chapter |
---|---|
2.1. | HAKI ZANGU |
2.2. | Sauti /f/ |
2.3. | Sauti /v/ |
2.4. | Msamiati |
2.5. | Kusikiliza na kuzungumza |
2.6. | Kusoma |
2.7. | Sarufi |
3. USAFIRI
Lead |
Chapter |
---|---|
3.1. | USAFIRI |
3.2. | Sauti /dh/ |
3.3. | Msamiati |
3.4. | Kusikiliza na kuzungumza |
3.5. | Kusoma |
3.6. | Sarufi |
4. FAMILIA
Lead |
Chapter |
---|---|
4.1. | FAMILIA |
4.2. | Sauti /ny/ |
4.3. | Sauti /ng’/ |
4.4. | Kusikiliza na kuzungumza |
4.5. | Msamiati |
4.6. | Kusikiliza na kuzungumza |
4.7. | Kusoma |
4.8. | Sarufi |
5. USALAMA WANGU
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | USALAMA WANGU |
5.2. | Sauti /th/ |
5.3. | Msamiati |
5.4. | Kusikiliza na kuzungumza |
5.5. | Kusoma |
5.6. | Sarufi |
6. HALI YA ANGA
Lead |
Chapter |
---|---|
6.1. | HALI YA ANGA |
6.2. | Msamiati |
6.3. | Kusikiliza na kuzungumza |
6.4. | Kusoma |
6.5. | Sarufi |
7. LISHE BORA
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | LISHE BORA |
7.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
7.3. | Kusoma |
7.4. | Sarufi |
8. MNYAMA NIMPENDAYE
Lead |
Chapter |
---|---|
8.1. | MNYAMA NIMPENDAYE |
8.2. | Kusikiliza na kuzungumza |
8.3. | Kusoma |
8.4. | Sarufi |