Authors
Atibu Bakari, Katherine A. Wanjala, Chokera A. Kithinji, Lilian Wairimu, Mutahi MirichoExercises kit’s authors
Atibu Bakari, Katherine A. Wanjala, Chokera A. Kithinji, Lilian Wairimu, Mutahi MirichoPublisher
-
The study kit contains 86 chapters and 164 exercises of which 117 are in the chapters and 47 in the task exercises.
-
Authors
Atibu Bakari, Katherine A. Wanjala, Chokera A. Kithinji, Lilian Wairimu, Mutahi Miricho -
Exercises kit’s authors
Atibu Bakari, Katherine A. Wanjala, Chokera A. Kithinji, Lilian Wairimu, Mutahi Miricho -
Subject
Kiswahili -
Grade
Standard 8 -
Kit's language
English -
Publisher
Kenya Literature Bureau -
Included in packages
Hili ni toleo la pili la Kiswahili kwa Darasa la Nane. Kitabu hiki cha wanaf unzi ni cha nane katika mfululizo wa vitabu vinane vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Kitabu hiki kimezingatia kwa kina na kwa namna ya kipekee mada zote zilizomo katika silabasi ya Kiswahili kwa Darasa la Nane.
Katika toleo hili, masuala nyeti yameshughulikiwa kwa uketo na usasa kama vile utaratibu wa ngeli kwa kuzingatia upatanisho wa viambishi kisaruf i. Masuala ibuka, kama vile haki za watoto, mazingira, UKIMWI, uadilifu, jinsia, ajira za watoto na afya yameshughulikiwa kwa upana na utaalamu wa kupigiwa mfano.
Mifano, michoro ya rangi na picha nyingi zimetumiwa iii kufanya somo hili liwe la kuvutia zaidi. Mazoezi kemkem yanayozingatia vipengele vyote katika silabasi yamejumuishwa iii kumhusisha mwanafunzi kikamilifu. Kitabu hiki kinawalenga wanaf unzi kutoka mazingira na jamii mbalimbali. Vilevile kitabu hiki kina mitihani ya majaribio iii kumwandaa mwanaf unzi ipasavyo kwa mtihani wa K.C.P.E.
Vitabu vifuatavyo vya Kiswahili, ambavyo vimechapishwa na KLB pia vyapatikana katika mfululizo huu:
• Kiswahili kwa Darasa la 1 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 1 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 2 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 2 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 3 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 3 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 4 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 4 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 5 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 5 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 6 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 6 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 7 Kitabu cha Wanaf unzi
• Kiswahili kwa Darasa la 7 Mwongozo wa Walimu
• Kiswahili kwa Darasa la 8 Mwongozo wa Walimu
1. SURA YA KWANZA
Lead |
Chapter |
---|---|
1.1. |
Kusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi
Free chapter! |
1.2. | Kuandika: Sentensi zenye Miundo Mbalimbali |
1.3. | Sarufi: Viambishi Ngeli |
1.4. | Msamiati: Tarakimu – 10,000,001-30,000,000 |
2. SURA YA PILI
Lead |
Chapter |
---|---|
2.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Adabu na Heshima |
2.2. | Kuandika: Insha ya Wasifu |
2.3. | Sarufi: Vivumishi Visivyochukua Viambishi Ngeli |
2.4. | Msamiati: Akisami |
3. SURA YA TATU
Lead |
Chapter |
---|---|
3.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Hadithi |
3.2. | Kuandika: Imla |
3.3. | Sarufi: Vihisishi/viingizi |
3.4. | Msamiati: Pembe kumi na sita za dunia |
4. SURA YA NNE
Lead |
Chapter |
---|---|
4.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Vitendawili |
4.2. | Kuandika: Barua ya Kirafiki |
4.3. | Sarufi: Viunganishi |
4.4. | Msamiati: Sayari |
5. SURA YA TANO
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mafumbo |
5.2. | Kuandika: Insha–Barua Rasmi |
5.3. | Sarufi: Vielezi vya Mkazo |
5.4. | Msamiati: Maliasili |
6. SURA YA SITA
Lead |
Chapter |
---|---|
6.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Misemo |
6.2. | Kuandika: Kanuni za Ushairi |
6.3. | Sarufi: Kirejeshi ‘amba’ na Ngeli za A-WA, U-YI, KI-VI, LI-YA, U-YA na YA-YA |
6.4. | Msamiati: Wizara |
7. SURA YA SABA
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Methali |
7.2. | Kuandika: Insha ya Maelezo |
7.3. | Sarufi: Matumizi ya 'ndi' na 'si ' |
7.4. | Msamiati: Mahakamani |
8. SURA YA NANE
Lead |
Chapter |
---|---|
8.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Hotuba ya Mfamasia |
8.2. | Kuandika: Insha ya Hotuba |
8.3. | Sarufi: Vivumishi vya ‘A’ Unganifu |
8.4. | Msamiati: Tarakimu 30,000,001-60,000,000 |
9. SURA YA TISA
Lead |
Chapter |
---|---|
9.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Majadiliano |
9.2. | Kuandika: Insha ya Kuendeleza |
9.3. | Sarufi: Vielezi |
9.4. | Msamiati: Mekoni |
10. SURA YA KUMI
Lead |
Chapter |
---|---|
10.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mahojiano Kati ya Vundi na Daktari |
10.2. | Kuandika: Insha ya Kimalizio |
10.3. | Sarufi: Viulizi |
10.4. | Msamiati: Vitawe |
11. SURA YA KUMI NA MOJA
Lead |
Chapter |
---|---|
11.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Sentensi zenye Miundo Mbalimbali |
11.2. | Kuandika: Insha ya Masimulizi |
11.3. | Sarufi: Matumizi ya 'katika',' ni' na 'kwenye' |
11.4. | Msamiati: Teknolojia |
12. SURA YA KUMI NA MBILI
Lead |
Chapter |
---|---|
12.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Taarifa mbalimbali |
12.2. | Kuandika: Insha ya Methali |
12.3. | Sarufi: Kauli ya Kutendeka |
12.4. | Msamiati: Ukoo |
13. SURA YA KUMI NA TATU
Lead |
Chapter |
---|---|
13.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Methali |
13.2. | Kuandika: Insha ya Kumbukumbu |
13.3. | Sarufi: Udogo, Wastani na Ukubwa wa Nomino |
13.4. | Msamiati: Viwandani |
14. SURA YA KUMI NA NNE
Lead |
Chapter |
---|---|
14.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Misemo |
14.2. | Kuandika: Insha ya Mazungumzo |
14.3. | Sarufi:Usemi Halisi na UsemiwaTaarifa |
14.4. | Msamiati: Matunda |
15. SURA YA KUMI NA TANO
Lead |
Chapter |
---|---|
15.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Vitendawili |
15.2. | Kuandika: Insha ya Masimulizi |
15.3. | Sarufi: Matumizi ya ‘na’ |
15.4. | Msamiati: Mimea |
16. SURA YA KUMI NA SITA
Lead |
Chapter |
---|---|
16.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Majadiliano |
16.2. | Kuandika: Insha ya Kuendeleza |
16.3. | Sarufi: Kauli ya Kutendesha |
16.4. | Msamiati: Viumbe wa Kike na wa Kiume |
17. SURA YA KUMI NA SABA
Lead |
Chapter |
---|---|
17.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Hotuba |
17.2. | Kuandika: Insha ya Mazungumzo |
17.3. | Sarufi: Usemi Halisi na Usemiwa Taarifa |
17.4. | Msamiati: Nomino za Makundi |
18. SURA YA KUMI NA NANE
Lead |
Chapter |
---|---|
18.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Shairi: Hongera Bi. Maathai |
18.2. | Kuandika: Insha ya Kumalizia |
18.3. | Sarufi: Kauli ya Kutendeshwa |
18.4. | Msamiati: Vitate |
19. SURA YA KUMI NA TISA
Lead |
Chapter |
---|---|
19.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mafumbo |
19.2. | Kuandika: Insha ya Methali |
19.3. | Sarufi: Kirejeshi Amba na Ngeli I-ZI, U-ZI, U-U, KU-KU, I-I na PA, KU, MO |
19.4. | Msamiati: Wafanyakazi |
20. SURA YA ISHIRINI
Lead |
Chapter |
---|---|
20.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Sentensi Zenye Miundo Mbalimbali |
20.2. | Kuandika: Insha ya Mjadala |
20.3. | Sarufi: Mnyambuliko wa Vitenzi |
20.4. | Msamiati: Tarakimu 60,000,001-100,000,000 |
21. SURA YA ISHIRINI NA MOJA
Lead |
Chapter |
---|---|
21.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mchezo wa Kuigiza |
21.2. | Kuandika: Barua ya Kirafiki |
21.3. | Sarufi: Udogo, Wastani na Ukubwa wa Nomino |
21.4. | Msamiati: Visawe |
22. SURA YA ISHIRINI NA MBILI
Lead |
Chapter |
---|---|
22.1. | Mazoezi Mseto |
23. SURA YA ISHIRINI NA TATU
Lead |
Chapter |
---|---|
23.1. | Mitihani ya Majaribio |