Kiswahili Mufti Gredi ya 1

Longhorn Kiswahili Mufti, Gredi 1 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya kwanza. 

Vilevile, kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi ili kueleweka kwa urahisi na wanafunzi wa gredi ya kwanza kutoka katika mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika unaafikiana vyema na uwezo wa lugha ya wanafunzi katika kiwango hiki. Kimeshughulikia masuala ibuka kama vile: maadili, kaki za watoto, usafi na afya, utangamano, maarifaya ujasiriamali, elimuya maendeleo endelevu, jinsia, teknolojia na mazingira. 

Pia, michoro ya kuvutia imetumiwa ili kumsaidia mwanafunzi kufahamu yaliyomo kwa urahisi na kuweza kuyahusisha maarifa na mazingira yake. 

Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utampa mwalimu maelezo na maelekezo kamili kuhusiana na mbinu mwafaka za kutayarisha, kuendesha na kutathmini uwezo wa utendaji wa wanafunzi na umahiri wao katika somo la Kiswahili.

1. KARIBU DARASANI

Lead
Chapter
1.1. Karibu darasani
Free chapter!
1.2. Kusikiliza na kuzungumza 2
1.3. Kusikiliza na kuzungumza 3
1.4. Kusoma

2. MIMI NA WENZANGU

Lead
Chapter
2.1. Mimi na mwenzangu
2.2. Kusikiliza na kuzungumza 2
2.3. Kusoma

3. TARAKIMU

Lead
Chapter
3.1. Tarakimu
3.2. Kusikiliza na kuzungumza 2
3.3. Kusoma

4. SIKU ZA WIKI

Lead
Chapter
4.1. Siku za wiki
4.2. Kusikiliza na kuzungumza 2
4.3. Kusoma

5. FAMILIA

Lead
Chapter
5.1. Familia
5.2. Kusikiliza na kuzungumza 2
5.3. Kusoma
5.4. Sarufi

6. MWILI WANGU

Lead
Chapter
6.1. Mwili Wangu
6.2. Msamiati
6.3. Kusikiliza na kuzungumza
6.4. Sarufi

7. USAFI WA MWILI

Lead
Chapter
7.1. Usafi wa mwili
7.2. Kusikiliza na kuzungumza
7.3. Kusikiliza na kuzungumza 2
7.4. Kusoma
7.5. Sarufi

8. VYAKULA VYA KIASILI

Lead
Chapter
8.1. Vyakula vya kiasili
8.2. Kusikiliza na kuzungumza 2
8.3. Kusikiliza na kuzungumza 3
8.4. Kusoma
8.5. Sarufi