Authors
Ann Vaati, Sarah Kerubo, Mary Kikwanuu, Kenan Ngere, Hellen N. KangaiExercises kit’s authors
Ann Vaati, Sarah Kerubo, Mary Kikwanuu, Kenan Ngere, Hellen N. KangaiPublisher
-
The study kit contains 55 chapters and 203 exercises of which 144 are in the chapters and 59 in the task exercises.
-
Authors
Ann Vaati, Sarah Kerubo, Mary Kikwanuu, Kenan Ngere, Hellen N. Kangai -
Exercises kit’s authors
Ann Vaati, Sarah Kerubo, Mary Kikwanuu, Kenan Ngere, Hellen N. Kangai -
Subject
Kiswahili -
Grade
Grade 4 -
Kit's language
Swahili -
Publisher
Longhorn Publishers -
Included in packages
Longhorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 4 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali.
Kitabu hiki kitamwangazia na kumwezesha mwanafunzi:
• kuwa na uwezo wa kuwasiliana na wenzake,
• kujiamini na kujithamini,
• kuwaza kwa kina na kupata suluhu ya matatizo,
• kuwa raia mwadilifu na mzalendo,
• kutumia vifaa mbalimbali vya kidijitali.
Upekee wa kitabu hiki ni kuwashirikisha wanafunzi kwa kiwango kikubwa katika ujifunzaji. Mlezi pia ameshirikishwa hasa katika mazoezi ya ziada. Mwishoni mwa kila mada kuu kuna zoezi la kuzichangamsha akili za wanafunzi ili kukumbuka waliyosoma.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utamwelekeza mwalimu katika kutekeleza wajibu wake. Bila shaka, mwanga wa kitabu hiki utaangaza na kukikuza Kiswahili angavu miongoni mwa wanafunzi. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu na watahini wenye ujuzi wa kutosha katika ufundishaji wa Kiswahili kwa miaka mingi.
1. Nyumbani
2. NIDHAMU MEZANI
Lead |
Chapter |
---|---|
2.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi na Maagano |
2.2. | Kusoma: Ufahamu |
2.3. | Kuandika: Kuandika insha |
2.4. | Sarufi: Aina za maneno. Viwakilishi |
2.5. | Sarufi: Aina za maneno. Vielezi |
3. MAVAZI
4. DIRA
5. USHAURI NASAHA
Lead |
Chapter |
---|---|
5.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Methali |
5.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufahamu |
5.3. | Kuandika: Kuandika insha |
5.4. | Sarufi: Umoja na wingi wa Nomino |
5.5. | Sarufi: Umoja na Wingi wa Sentensi |
6. BENDERA YA TAIFA
7. MATUNDA NA MIMEA
Lead |
Chapter |
---|---|
7.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Nahau |
7.2. | Kusoma: Kusoma kwa mapana |
7.3. | Kuandika: Kuandika insha |
7.4. | Sarufi: Umoja na wingi wa sentensi/nomino |
8. WANYAMA WA PORINI
Lead |
Chapter |
---|---|
8.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Visawe |
8.2. | Kusoma: Kusoma kwa ufahamu |
8.3. | Kuandika: Kuandika insha |
8.4. | Sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi |
9. AFYA BORA
Lead |
Chapter |
---|---|
9.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo |
9.2. | Kusoma: Kusoma kwa mapana |
9.3. | Kuandika: Kuandika insha |
9.4. | Sarufi: Vinyume vya nomino |
10. KUKABILIANA NA UHALIFU
Lead |
Chapter |
---|---|
10.1. | Kusikiliza na Kuzungumza: Tashbihi |
10.2. | Kusoma: Kusoma kwa mapana |
10.3. | Kuandika: Kuandika insha |
10.4. | Sarufi: Nyakati na hali |