Kiswahili Gredi ya 5

Authors
Mutahi Miricho, Sheilah Wandera, David Maina Kamau, Atibu Bakari, Katharine Wanjala
Exercises kit’s authors
Mutahi Miricho, Sheilah Wandera, David Maina Kamau, Atibu Bakari, Katharine Wanjala
Publisher
Kenya Literature Bureau

KLB Visionary Kiswahili Gredi ya Tano (Kitabu cha Mwanafunzi) kimechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwanafunzi katika lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. 

• Kitabu hiki kimechapishwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa kiumilisi kutokaTaasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD) wa mwaka wa 2019 wa masomo ya shule to msingi,gredi ya tano. 
• Mwanafunzi amepewa nafasi ya kutosha ya kutambua na kujifunza mambo mapya iii kukuza uwezo wake wa kukabili mambo katika maisha. 
• Mazoezi ainati, mifano na picha zimetumika kwa nia ya kulenga toazingira ya mwanafunzi na usasa iii kumrahisishia ujifunzaji. 
• Masuala mtambuko to ya kijinsia yamejumuishwa kitabuni iii kukuza mwanafunzi anayewajibikia mabadiliko maishani. 
• Kitabu hiki kimekuza upekee wa kutumia shajara na kazi mradi katika sehemu ya mwisho ya kila mada. Shajara na kazi mradi zimekusudiwa kumsaidia mwanafunzi kutumia ujuzi wa mambo aliyogundua au kujifunza kutokana na mada husika iii kubuni kite kipya au kutatua suala fulani katika maisha ya kila siku. 

Vitabu vingine vya KLB ambavyo vimeidhinishwa to KICD ti: 

• KLBVisionary IRE Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary CRE Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary English Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary Mathematics Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary Science and Technology Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary Music Grade Five Learner's Book andTeacher's Guide 
• KLBVisionary Art and Craft Grade Five Learner's Book andTeacher's Guide 
• KLBVisionary Physical and Health Education Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary Home Science Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide 
• KLBVisionary Agriculture Grade Five Learner's Book and Teacher's Guide

1. MAPISHI

Lead
Chapter
1.1. Kusikiliza na kuzungumza
Free chapter!
1.2. Kusoma
1.3. Kuandika
1.4. Sarufi

2. HUDUMA YA KWANZA

Lead
Chapter
2.1. Kusikiliza na Kuzungumza
2.2. Kusoma
2.3. Kuandika
2.4. Sarufi

3. MAPAMBO

Lead
Chapter
3.1. Kusikiliza na kuzungumza
3.2. Kusoma
3.3. Kuandika
3.4. Sarufi

4. SAA NA MAJIRA

Lead
Chapter
4.1. Kusikiliza na kuzungumza
4.2. Kusoma
4.3. Kuandika
4.4. Sarufi

5. KUKABILIANA NA UMASKINI

Lead
Chapter
5.1. Kusikiliza na kuzungumza
5.2. Kusoma
5.3. Kuandika
5.4. Sarufi

6. MAADILI

Lead
Chapter
6.1. Kusikiliza na kuzungumza
6.2. Kusoma
6.3. Kuandika
6.4. Sarufi

7. ELIMU YA MAZINGIRA

Lead
Chapter
7.1. Kusikiliza na kuzungumza:
7.2. Kusoma
7.3. Kuandika
7.4. Sarufi

8. NDEGE WA PORINI

Lead
Chapter
8.1. Kusikiliza na kuzungumza
8.2. Kusoma
8.3. Kuandika
8.4. Sarufi

9. MAGONJWA

Lead
Chapter
9.1. Kusikiliza na kuzungumza:
9.2. Kusoma
9.3. Kuandika
9.4. Sarufi

10. KUDHIBITI ITIKADI ZA KIDINI NA ZA KIJAMII

Lead
Chapter
10.1. Kusikiliza na kuzungumza
10.2. Kusoma
10.3. Kuandika
10.4. Sarufi

11. UWEKEZAJI

Lead
Chapter
11.1. Kusikiliza na kuzungumza
11.2. Kusoma
11.3. Kuandika
11.4. Sarufi